Kabla hujasafiri kupitia AG24SEVEN SERVICES, hakikisha umejiandaa vizuri:
✅ Pata Medical Visa halali
✅ Kuwa na barua ya hospitali ya India
✅ Andaa ripoti na vipimo vyako vyote
✅ Hakikisha una bajeti ya matibabu na malazi
✅ Kama una msindikizaji, apate Medical Attendant Visa
Usiache afya yako iwe kwenye bahati!
AG24SEVEN tunakusaidia kuanzia maombi ya visa, kuchagua hospitali bora, hadi mapokezi India ndani ya masaa 72 tu.
📲 Wasiliana nasi sasa: +255746763788
AG24SEVEN SERVICES – Safari yako ya matibabu inaanza nasi.
